SHEREHE za Maadhimisho ya miaka 19 ya Kanisa la The World Of Reconciliation Church (WRC) Kivule Matembele ya pili Jijini Dar es Salaa
Sherehe hizo zinafanyika Leo Aprili 6,2026 na limetimiza miaka 19 tangu kuanzishwa kwake ,viongozi mbalimbali wakiwasili Kanisani hapo




