Vyama 12 VIMEPONGEZA report ya tume ya kuchunguza matukio ya tarehe 29 na baada ya uchaguzi iliyowasilishwa na jaji chande

 


Katika mkutanono huo mhe Doyo alipongeza hutuba ya mh Rais wa JAMHURI ya MUUNGANO wa Tanzanian kwa kukubaliana na mapendekezo yote yaliyopendekezwa na tume hiyo aidha mhe doyo amesiaitiza pendekezo namba nne na pendekezo namba tano mamlaka husika wayafanyie kazi haraka kuondoa mzozo uliopo wa kisiasa hapa nchi

Post a Comment

Previous Post Next Post