Diwani wa Kata ya Bonyokwa Halmashauuri ya Jiji laa Dar es Salaam Tumike Malilo aakiizungumza na wanafunzi wa Shule ya Msingi Bonyokwa mara baada ya kufika shuleni hapo Leo Januari 29,2026 kwa ajili ya kutoa msaadawa sate za shule,kalamu na daftari kwa watoto wasiojiweza.
Diwani wa Kata ya Bonyokwa Mhe.Tumike Malilo akikabidhi msaada kwa watoto wasiojiweza pamoja na Wajumbe wa Kamati ya Siasa na baadhi ya viongozi wa Shina,walimu wa Shule ya Msingi Bonyokwa
Hapa ni Diwani na Wajumbe wa Kamati ya Siasa na baadhi ya viongozi wa shina wakitembelea mradi wa ujenzi wa Shule ya High School ambapo jengo la ghorofa 5 limefikia asilimia 95 na limejitosheleza kwa Kila kitu kama linavyoonekana katika Picha.
Diwani na Wajumbe wa Kamati ya Siasa wakiwa ndani ya Jengo la Kituo cha Polisi Kata ya Bonyokwa ambapo ujenzi wake unaendelea katika hatua za mwisho kukamilika.
Pichaya Jengo la Kituo cha Polisi Bonyokwa kama unavyoonekana katika Picha
Diwani pamoja na wajumbe wa Kamati ya Siasa na baadhi ya viongozi wa shina wakitembelea kituo hicho kinachachoendelea na ujenzi

Diwani na wajumbe wa Kamati ya Siasa na baadhi ya viongozi wa Shina wakianza ziara ya kurtembelea miradi katika Kata ya Bonyokwa kujionea hatua zinazoendelea katika miradi ya Shule ya High School pamoja na Kituo cha Polisi.
Pia Diwani na Kamati ya Siasa walipata wasaa wakutembelea Shule ya Sekondari Bonyokwa ,Diwani Tumike akizungumza na wanafunzi wa kidato cha kwanza na alitoa wito kwa wanafunzi hao kusoma kwa bidii na kujiepusha na vishawishi kwani wazazi wanajitoa kwa ajili Yao.





.jpg)
.jpg)



