KONGAMANO LA PILI LA WANAWAKE TANESCO LAFANA

 


Na Mwandishi wetu

DAR ES SALAAM 

Washiriki Mbalimbali  wa Kongamano la Pili la Wanawake wa TANESCO Kuhamasisha Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia ya Umeme  wakizungumza juu ya ushiriki wao katika kongamano hilo na manufaa makubwa waliyoyapata katika ushiriki wao kwenye kongamano hilo.





Post a Comment

Previous Post Next Post